Waziri wa Madini Mhe. Anthony P. Mavunde na Mtendaji Mkuu wa GST Dkt. Mussa Budeba wameshuhudia jaribio la urushwaji wa Ndege Nyuki (Drone) angani kwa ajili ya utafiti wa miamba na madini hususan madini ya Kinywe, Nikeli, chuma na titanium katika Kijiji cha Utimbe kata ya Lupaso wilayani ya Masasi mkoa wa Mtwara.
Madini Indaba, 2024
Mwenyekiti wa Bodi ya GST Prof Ikingura, Katibu wa Bodi Dkt Mussa Budeba na Wajumbe Wengine Katika Kikao cha 17 cha Bodi Kilichofanyika Tarehe 19 Januari 2024 Katika Ukumbi wa Prof Mruma Dodoma Ambapo Mwenyekiti Ameitaka Menejimenti ya GST Kutekeleza Kwa Ufanisi "Vision 2030"
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Madini na Taasisi Zake Wakiwa Kwenye Kikao Pamoja na Kiongozi wa Kampuni ya BHP Jijini London, Uingereza.
Utafiti wa awali na kuainisha madini yanayopatikana katika Mkoa wa Mtwara hatua iliyosaidia wananchi kukata leseni ya utafiti na kujihusisha na uchimbaji wa dhahabu ambao unawapatia kipato hasa katika maeneo ya Nanyumbu na Masasi mkoani humo
Kamati ya Nishati na Madini Ilipotembelea Maabara ya Uchenjuaji Madini - Mbwanga, GST Dodoma.
Kifaa cha Uchunguzi Kwenye Udongo
Kifaa Kinachotumika Kupima jioteknolojia ya Miamba.
Utafiti wa Kufahamu Mbinu za Uchenjuaji Madini Kwa Kutumia Uchenjuaji Endelevu